Selling

Viwanja Kigamboni, Plot for sale at Lingato

TZS19.2 million
  • (0)
  • Kigamboni, Dar es Salaam
Description

Residential Plot for Sale in Kigamboni Lingato – Kisarawe

Location: Kigamboni – Lingato, Kisarawe
Size: 640 SQM
Land Use: Residential / Makazi

Maelezo ya Kiwanja
Kiwanja cha makazi kinauzwa Kigamboni Lingato Kisarawe. Kipo kwenye eneo zuri la tambarare, hakina maji ya mafuriko na kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi. Eneo ni tulivu, salama na linaendelea kukua kwa kasi.

Location Advantage
Kiwanja kiko umbali wa kilomita 2 kutoka barabara ya lami eneo la Mr. Kuku. Kiko karibu na Viwanda vya Afya kwa umbali wa kilomita 4. Eneo linafikika kwa urahisi kutoka Kigamboni na Dar es Salaam kwa ujumla.

Sifa Muhimu
Ukubwa wa kiwanja ni mita za mraba 640.
Eneo ni tambarare na halina historia ya mafuriko.
Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi.
Huduma muhimu zipo karibu.
Ni eneo zuri kwa makazi ya familia na investment ya muda mrefu.

Sababu za Kununua
Ni residential plot yenye potential kubwa ya kuongezeka thamani.
Inafaa kwa ujenzi wa haraka.
Kigamboni ni eneo linalokua kwa kasi katika real estate Tanzania.
Ns Salaam, 

 

 

Overview
Property ID: 98
Square: 640 m²
Amenities and features
  • Road
  • Water and Elecricity
What's nearby?

The property is conveniently located near key amenities such as shopping, schools, healthcare facilities, public transport, and recreational areas, ensuring ease of access and a comfortable living environment for buyers and tenants.

  • School: 500m
  • Bus Stop: 2km
  • Tarmac Road: 2km
Project's Information
Viwanja vinauzwa Kigamboni Dar es Salaam, Mtaa wa Lingato, Kisarawe 2. Bei ni Tsh 30,000 hadi 40,000 kwa SQM. Km 2 kutok...
  • Dar es Salaam, Dar es Salaam
Location
Write A Review
0 Reviews
0 out of 5
Contact Agency